Biblia Takatifu ya Kiswahili|書籍線上App不用買

シェア記事:

【免費書籍App】Biblia Takatifu ya Kiswahili-APP點子

Biblia Habari Njema (Kiswahili). Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.

【免費書籍App】Biblia Takatifu ya Kiswahili-APP點子

【免費書籍App】Biblia Takatifu ya Kiswahili-APP點子

【免費書籍App】Biblia Takatifu ya Kiswahili-APP點子

免費玩Biblia Takatifu ya Kiswahili APP玩免費

免費玩Biblia Takatifu ya Kiswahili App

Biblia Takatifu ya Kiswahili APP LOGO

Biblia Takatifu ya Kiswahili LOGO-APP點子

Biblia Takatifu ya Kiswahili APP QRCode

Biblia Takatifu ya Kiswahili QRCode-APP點子
熱門國家系統支援版本費用APP評分上架日期更新日期
未知Android
Google Play
1.0
App下載
免費
1970-01-012015-04-22
シェア記事: